Ticker

6/recent/ticker-posts

matiti ya binadamu hubaki milele


kutokana na utafiti inaonesha binadamu ndio mnyama mwenye matiti yasiyopungua yaani ya moja kwa moja, na hii hutokana na binadamu wakati wa kubalehe ambapo mwanamke ukuwa na maziwa makubwa pia mwanaume chuchu kuongezeka kidogo. matiti ya wanawake huongezeka kutokana na matupizi, kunyonyesha au kuminywa pia wengine ni unene, wakati kwa wanume wengine matiti huonekana pale wakiwa wanene au kutumia poda ya kutunisha misuli.