Ticker

6/recent/ticker-posts

matiti ya mwanamke kwa mwanaume


mwanaume kutazama #matiti ya #mwanamke walau kwa dakika 10 kila siku inafaida kiafya kuliko kwenda gym.

Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika mwanamke ni matiti. Naam Matiti.

Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?

Haya,mimi nadhani utafiti huu ulifanyiwa wazungu peke yao, sio waafrika. Lakini ndio utafiti wenyewe huo.

Watafiti hao wamegundua kwamba wanaume wengi huwa hawa kupiga jicho ...pa mara moja tu! Hapana! Wao huangalia kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi wa nimwambie au nisimwambie?.

Ni utafiti wa chuo kikuu cha Victoria kilichoko Wellington, mjini London, Uingereza.